Learn how to get FREE money from the Government of Canada for your child’s future post-secondary education. Join us for a free information session and signup event.
Tafuta jinsi ya kupata pesa za bure kutoka kwa serikali ya Canada kwa elimu ya baadaye ya sekondari ya mtoto wako. Jiungee nasisi kwenye kikao cha habari cha bure na uji andikishe.
Monday, July 20, 2020
1 – 2 pm online via Zoom
Who’s eligible? Nani anastahiki?
- If your child is born January 1, 2004, or later, and your family’s annual income is less than $47,630. Ikiwa mtoto wako alizaliwa munamo / au Januari 1, 2004, na mapato ya kila mwaka ya familia yako ni chini ya $ 47,630.
- Permanent residents Wakazi wa kudumu
- Refugees Wakimbizi
- Refugee claimants Wanaotafuta uraia
- Canadian citizens Raia wa Canada
- Temporary and/or foreign workers Wafanyikazi wa muda na / ao wageni
- Students Wanafunzi
Via Zoom, presented in Swahili.
Register
604-547-1292
mkiiza@dcrs.ca
dcrs.ca/clb