Personal Safety Workshop (Swahili)

Jul21

Personal Safety Workshop (Swahili)

Come listen to our presenters from the RCMP to learn about personal safety issues, including:

 • Driver safety on the road
 • Safety trips as a pedestrian
 • What to do if you’re the victim of an assault or robbery
 • How to call 9-1-1 and access other support

Njoo uwasikilze watoa maada wetu kutoka RCMP ujifunze kuhusu maswala ya kujilinda, ikiwa ni pamoja na:

 • Usalama wa dereva barabarani
 • Vidokezo vya usalama wa watembea kwa mguu
 • Nini cha kufanya ukiwa mhanga wa shambulio au ujambazi
 • Jinsi ya kuita 9-1-1na upatikanaji wa huduma zingine

Wednesday, July 21, 2021 / Jumatano, julai 21, 2021
1-2:30 pm, Online via Zoom / mtandaoni kutumia Zoom
Saa 7 hadi 8:30 mchana

Who’s eligible? / Nani ansitahiki?

 • Permanent residents / Wakazi wa kudumu
 • Refugees / Wakimbizi
 • Protected persons / Watu waliolindwa

Event Details

When

 • Wed, 21 Jul 2021, 1:00 pm –
 • Wed, 21 Jul 2021, 2:30 pm
 • Phone: 604-547-1292
 • Email: mkiiza@dcrs.ca